Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, October 6, 2010

CRDB BANK YATOA REFLECTIVE JACKETS 500 KWA JESHI LA POLISI


Mkurugenzi wa masoko na utafiti wa Benki ya CRDB B. Tully Mwambapa (kushoto), akikabidhi Mkuu wa kitengo cha Usalama barabarani cha Jeshi la Polisi Nchini SACP Mohammed Mpinga,Dar es Salaaam jana, vazi maalumu (Reflective jackets), la Usalama barabarani kwa ajili ya kuvaa wanafunzi wanapo wavusha wenzao eneo ya barabara.wametoa jumla ya mavazi hayo 500 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni kumi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...