Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, October 2, 2010

DIDA kuimba taarab kwa mara ya kwanza, kupiga show na JAHAZI jukwaa moja Jumapili hii....


Dida pichani, mtangazaji wa redio Times anatarajiwa kupanda jukwaani kwa mara ya kwanza na kuimba nyimbo moja sambamba na Kundi zima la Jahazi Mordern Taarab ktk tamasha litakalofanyika Magomeni ktk ukumbi wa Traverntine Hotel

Dida ni mtanagazaji wa redio kipindi cha Taarab hajawahi kuimba taarab hata siku moja, Jumapili ya kesho kutwa tarehe 3/10/2010 itakuwa mara ya kwanza kabisa pale Traverntine ambapo kundi zima la Jahazi chini ya Mzee Yusuph litakuwa likiendelea kutambulisha album yake ya Valentine na nyimbo zingine mpya kwa wapenzi wake wa Dsm na vitongoji vyake.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...