Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, October 9, 2010

DK, BILAL AUNGURUMA MKOANI MOROGORO LEO


Wanachama wa CCM Mkoa wa morogoro, wakiwa na mabango yenye picha za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood na mgombea Urais wa CCM, Jakaya Mrisho Kikwete, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shujaa mjini Morogoro leo Okt 9. Picha na Muhidin Sufiani
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Morogoro Mjini wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shujaa mjini Morogoro leo ambapo pia alimnadi mgombea ubunge wa jimbo hilo, Abdulaziz Abood. Picha Na Muhidin Sufiani

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...