Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, October 6, 2010

DK BILAL HATUA TANGA KUFANYA MKUTANO LEO


Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na wazee wa Kijiji cha Manga Wilaya ya Bagamoyo wakati aliposimama njiani kuwasalimia na kuzumngumza na wananchi wa kijiji hicho alipokuwa njiani kuelekea mkoani Tanga
Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib akifurahia jambo na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Handeni Abdallah Kigoda baada ya kupokelewa mpakani mwa Wilaya ya Bagamoyo na Handeni

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...