Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, October 3, 2010

DK. BILAL MGENI RASMI MAADHIMISHO YA WIKI YA UWT DAR


Mgombea Mwenz a wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal na mkewe Bi Zakia Bilal, wakiingia kwenye Uwanja wa CCM Mwinjuma Mwananyamala Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam leo Okt 2, wakati alipokuwa mgeni rasmi katika Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wiki ya Wanawake Tanzania (UWT) na Mkutano wa kampeni .
Mgombea Mwenz a wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na wanachama wa CCM na Wanachama wa Umoja wa Wanawake Tanzania, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa CCM Mwinjuma Mwananyamala A jijini Dar es Salaam, katika Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wiki ya Wanawake Tanzania Kitaifa leo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...