Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, October 3, 2010

MASHINDANO YA KICK BOXES YALIVYOFANA JANA

kaseba akiongea na mabondia waliojitokeza kuzichapa bulee siku ya jumapili ijayo
Jackson Laurance na Mwishee Magwila wakipambana
hamisi mwinyuma na josefu haule wakiwa katika picha ya pamoja na mashabiki
bondia Shabani Madilu na moro best hassan wakipambana madilu alishinda kwa pointi
Jackson Laurance na Mwishee Magwila wakipambana

profesa j akiwa na kaike
mtoto akilia machozi baada ya baba yake mdogo rasta kupigwa raundi ya kwanza wakati wa mchezo huo
msemaji chochote wa maonesho hayo mc manywere akizunguoza
ngumi si mchezo mtu chiniiiii

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...