Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, October 9, 2010

Rotary Dar Marathon KUFANYIKA Oktoba 14


Mwenyekiti wa bodi ya Bank M Nimrod Mkono (MB) akifurahi pamoja na wajumbe wa kamati ya maandalizi ya Mbio za hisani zijulikanazo kama Rotary Dar Marathon – Hamza Kasongo (Kushoto) na Sharmila Bhatt (Kulia) muda mfupi baada ya kusaini makubaliano ya udhamini. Mbio hizo zitafanyika zinalenga kukusanya zaidi ya shilingi milioni 100 kwa ajili ya miradi ya maji katika mashule na hospitali mbalimbali na zitafanyika Oktoba 14 ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...