Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, October 6, 2010

STAR TIMES DIGITAL FESTIVAL



Baadhi ya wateja wakipata huduma mbalimbali

hili ni jengo la star times
waandishi wakivaa viatu maalumu vya kuingilia studio
mitambo inayorusha matangazo ya star times



STAR TIMES DIGITAL FESTIVAL

Hii ni festival / tamasha ambalo huwa linafanywa na kampuni yetu kama sehemu ya utamaduni, na huwa inaambatana na mambo mengi sana yatayo mfanya mteja wetu kuwa karibu na Star Times.
Mwezi huu wa October tumeandaa promotion kubwa sana ambayo ina mambo yatakayo mfaidisha mteja kwa namna moja au nyingine. .
Baadhi ya mambo hayo ni:
1.Kwanza kwa kutaka kukidhi kiu ya burudani na habari mbalimbali kwa wateja wetu tumeongeza channel mpya ikiwemo BOLLYWOOD TV kwa wale ambao ni wa wapenzi wa filamu za kihindi, stori za maisha yao na tamaduni zao kwa ujumla huu ndo wakati wa kufurahia channel hii.
Pia tumeongeza chanell za E-star na Real star ambazo nazo pia zinaonesha burudani mbalimbali ikiwemo filamu kutoka afrika kama Nigeria na sehemu nyingine.. na channel nyingine ni MSNBC ambayo ni channel ya kimarekani hii inaonesha zaidi habari mbalimbali na matukio yanayoendelea kutoka sehem mbalimbali.
2. Pili Star Times imetoa punguzo kubwa la bei ndani ya mwezi huu wa kumi ambapo
Dikoda/ king’amuzi kilichokuwa kikiuzwa kwa 70000/= tsh sasa kinapatikana kwa
60000/= unaweza ukaona ni karibia 14% iliyopunguzwa hapo.
Pia digital TV zitauzwa kwa bei pungufu ukilinganisha na wakati mwingine ambapo bei imeshushwa kwa 12%.

NO
BIDHAA
BEI YA KAWAIDA
BEIYA PROMOSHENI
1.
Digital TV 21 inch
250,000/= tsh
220,000/= tsh
2.
Digital Tv 26 inch
570,000/= tsh
500,000/= tshs
3.
Digital Tv 32 inch
800,000/=
700,000/= tshs


3. Tatu ili kuepusha usumbufu kwa wateja wetu Star Times imeamua kuanza kuuza vocha zake za kulipia bill ya mwezi katika maduka madogo madogo yatayokuwa yanapatikana kila sehemu ili kumfanya mteja awe karibu na huduma zetu. Kwahiyo hii ni mojawapo ya ajira ambayo Star Times itatoa kwa vijana wengi wataokuwa tayari kuwa ma delers au wawakilishi wa kampuni yetu katika sehemu mbalimbali.

4. Na mwisho tuna mkakati wa kuandaa tamasha litalokutanisha watu mbalimbali wakiwemo wajasiriamali, wanamichezo na watu wa tasnia mbalimbali kuwa pamoja katika Star Times DIGITAL FESTIVAL..hili tutawajulisha litakapokuwa limekamilika..

MAHALI: TBCI Star Times Shop.
MUDA: Jumatano saa :10;00 am.
MSEMAJI: DAVIS MWIJAGE
Marketing Assistant
Star Times.

1 comment:

  1. STAR TIMES MKO JUUU,HIYO PROMOTION SI MCHEZO.
    BIG UP GUYS

    Samson Chita

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...