Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, October 5, 2010

TAKUKURU YASHUTUMIWA KUIBEBA CCM ARUSHA



Mgombea udiwani kata ya kimandolu kwa tiketi ya chadema Bw Estomii Mala akimlalamikia Afisa TAKUKURU hatua ya kuibeba CCM pindi wanapoitwa kuwakamata wakati wakitoa rushwa, wagombea udiwani na ubunge jimbo la Arusha jana waliandamana mpaka ofisi za TAKUKURU wakiituhumu kuibeba CCM.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...