Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, October 8, 2010

WARIOSHINDA PIKIPIKI HAWA HAPA

Washindi waliopatikana wiki hii katika droo ya Changia CCM ni;



1. Magreth Mhina - Msaranga
2. Elisha Chimojo – Kongoe
3. Vitalis Kateule – Mjimwema
4. Mary John – Morogoro
5. Peter Pakata – Mlandizi
6. Rukia Mohammed – Magomeni
7. Omary Suleiman – Mbagala
8. Charles M. Kwetukia – Manzese
9. Elias Mgusi – Mara
10. Neema Peterson – Mwanza
11. Godfrey Martin – Ilala
12. Emmanuel Msuya – DSM
13. Khamis Suleiman – Kigamboni
14. Chyte Silebi – Mara
15. Bakayoko Athmani – Tanga


Washindi hawa wamejinyakulia zawadi mbali mbali zikiwemo piki piki, baiskeli na pesa taslimu. Kujiunga katika Mtandao huu ni bure, tuma neno CCM kwenda 15016 na utakuwa umejipatia nafasi ya kushinda zawadi mbali mbali, kujulishwa habari za chama na kutuma maoni yako bure. Kujitoa kwenye huduma hii tuma neno Ondoa kwenda namba 15016

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...