Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, October 4, 2010

ZANTEL KUWATAJIRISHA WATU 109 KUWA MAMILIONEA KWA SIKU 98




Mwezeshaji wa promosheni ya 'Hamisi ma SMS' Bw.Nickson Haule (kulia) akionesha pesa kwa waansidhi wa habari, Dar es Salaam jana ambazo zitakuwa zikitolewa kila siku kwa washindi wa promosheni hiyo. Kushoto ni ni Mkuu wa Viwango vya Masoko wa kampuni hiyo Bw.Brian Kalokola (katikati) ni mlinza usalama Bw. Kiko Maganga
Mwezeshaji wa promosheni ya 'Hamisi ma SMS' Bw.Nickson Haule (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi wa masoko wa Zantel Bw. Hashimu Mukundi
pesa zitakazokuwa zikitolewa kwa siku 98 hizi hapa





No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...