Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, April 14, 2014

MWANDISHI WA HABARI THOMAS LIPUKA KOMBA AZIKWA KIJIJINI KWAO MKILI WILAYANI NYASA


Baadhi ya Waandishi wa habari wakiwa mbele ya sanduku Marehemu Lipuka komba
Baadhi ya waandishi wa habari wa Mkoa wa Ruvuma wakishusha sanduku kaburini
Katibu mtendaji wa Ruvuma Press akichukuwa matukio
Mjane wa marehemu Christina Haule akiweka shada la maua

Mwandishi wa habari Thomas Lipuka Komba amezikwa kijijini kwake Mkili wilayani Nyasa Juzi.
 
Marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu hali iliyosababisha kifo cha ghafla.


Marehemu Thomas Lipuka Komba ni miongoni mwa waanzilishi wa chama cha waandishi wa habari Ruvuma RPC mwaka 1995 alikuwa mwanachama mwaminifu hadi kifo chake.


Tunawashukuru wale wote walotuombea tusafiri salama tunapenda kuwajulisha kwamba tumeludi salama.Picha na Mpenda Mvula 

Mtandao  huu  unaungana na  wanatasnia  ya habari Ruvuma na nchini  pote  kuomboleza  msiba  huu mkubwa 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...