Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, April 7, 2014

RIDHIWANI KIKWETE AWASHUKURU WAKAZI WA CHALINZE KWA KUMCHAGUA KUWA MBUNGE WAO


 Mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na mjumbe wa kamati kuu ya CCM Mh. Jerry Silaa wakati wa mkutano wake wa kuwashukuru wananchi wa Chalinze kwa  kumchagua kuwa mbunge wao  uliofanyika katika Uwanja vya Miembe saba, Tume ya taifa ya Uchaguzi imemtangaza Mh.Ridiwani Kikwete  kuwa mshindi katika uchaguzi uliofanyika juzi Aprili 6
 Mke wa mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Bi. Arafa Ridhiwani akiwasalimia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kayta ya Bwilingu uwanja wa Miembe Saba Chalinze jana
Mbunge mteule wa jimbo la Chalinze Mh Ridhiwani akiwashukuru wananchi wa Chalinze baada ya kumchagua kuwa mbunge wao katika uchaguzi uliofanyika juzi jimboni humoPICHA NA FULLSHANGWEBLOG

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...