Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 15, 2014

WAKAZI WA TABORA WALIPOKEA VYEMA TAMASHA LA FIESTA 2014.


Msanii mwingine anaekuja vyema kwenye anga ya muziki wa Bongofleva aitwaye  Kadja ambaye anatamba na wimbo wake wa Maumivu niache akiimba pamoja  na Linah.
Mkali wa Bongo Hip Hop Farid Kubanda a.k.a Fid Q akikamua vilivyo juu ya jukwaa na la Fiesta.
Msanii wa Bongofleva,Kadja akiimba wimbo wake wa Maumivu niache mbele ya maelfu ya wakazi wa Tabora (hawapo pichani) waliofika kwenye tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo.
 Ilikuwa buruuudani ya kusambaza upendo wa kweli kwa wakazi wa Tabora ndani ya tamasha la Fiesta
Palikuwa hapatoshi usiku wa kuamkia leo ndani ya uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mjini Tabora,ambapo tamasha la Fiesta lilirindima.
Wasanii chipukizi kutoka Tabora nao walionesha umahiri wao jukwaani
Sehemu ya umati mkubwa wa watu waliofika kulishuhudia tamasha la Fiesta lililofanyika usiku wa  kuamkia leo ndani ya uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mjini Tabora.PICHA NA MICHUZI JR-TABORA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...